Guided Tour

Guided Tour in Swahili with Anastacia Wairimu Nganga / Ziara za uelekezaji kwa Kiswahili na Anastacia Wairimu Nganga

Indigo Waves and Other Stories: Re-Navigating the Afrasian Sea and Notions of Diaspora

 

In this tour, the African studies scholar Anastacia Wairimu Nganga gives insights into the exhibition Indigo Waves and Other Stories: Re-Navigating the Afrasian Sea and Notions of Diaspora.

Anastacia Wairimu Nganga engages with the shared cultural traditions and values and the mutuality of different languages across Africa and Asia. She grew up speaking Swahili and ever since has been fascinated by this language that is rooted along the coastlines of the Indian Ocean.

In this tour, Anastacia Wairimu Nganga will look at the connecting elements of societies shaped by the history of the Swahili language and relate them to the artistic positions in the exhibition.

Anastacia Wairimu Nganga was born in Kenya and has studied African studies. She is one of the initiators of swahili swahili e.V., an initiative that has been promoting a platform for transcultural families and dialogue. She understands biographies as a navigational tool: the past carries the future and the future is carried by the present. Nganga is interested in these realities and how they are traced by the artists of Indigo Waves and Other Stories.
 

Mawimbi ya Indigo na Hadithi Nyingine: Kuelekeza Upya Bahari ya Afrasian na Dhana za Diaspora

Kama sehemu ya maonyesho Mawimbi ya Indigo na Hadithi Nyingine: Kuelekeza Upya Bahari ya Afrasian na Dhana za Diaspora, msomi wa mafunzo ya Kiafrika Anastacia Wairimu Nganga atafanya ziara ndani ya maonyesho hayo kwa lugha ya Kiswahili. 

Daima amekuwa akivutiwa na uwepo wa mila na maadili ya kitamaduni na lugha tofauti barani Afrika na Asia. Kiswahili ni mojawapo ya lugha inayovutia na ya kipekee ambayo amekuwa akiitumia tangu utotoni na chimbuko lake ni ufuo wa Bahari ya Hindi.

Katika ziara hii ya maonyesho kwa Kiswahili, Anastacia Wairimu Nganga atatafsiri kazi za wasanii kwa kuzingatia vipengele vinavyounganisha jamii vilivyoundwa na historia ya lugha ya Kiswahili, huku akisisitiza dhamira zinazowakilishwa na wasanii.